Jukwaa la Michezo

Michuano ya COSAFA yaanza nchini Afrika Kusini

Sauti 26:16
Zimbabwe na Msumbiji zikimenyana katika mchuano muhimu wa COSAFA
Zimbabwe na Msumbiji zikimenyana katika mchuano muhimu wa COSAFA COSAFAMEDIA

Michuano ya mwaka huu ya COASAFA imeanza kutifua vumbi nchini Afrika Kusini. Mataifa 14 kutoka ukanda wa Kusini mwa Afrika yanashiriki, ikiwemo Tanzania ambayo imealikwa. Tunajadili hili na mengine yanayotokea mwishoni mwa wiki hii.