Vlabu vya soka barani Afrika vyaendelea kupambana kufuzu robo fainali

Sauti 23:12
Mpira wa mchezo wa miguu
Mpira wa mchezo wa miguu yutube

Michuano ya soka  hatua ya makundi kuwania taji la klabu Bingwa na Shirikisho barani Afrika inafikia mwisho mwishoni mwa juma hili. Je, nani atafuzu katika hatua ya robo fainali ?Tunachambua hili kwa kina.