Zimbabwe yashinda taji la COSAFA mwaka 2017

Sauti 24:21
Zimbabwe ikimenyana na Zambia katika fainali ya COSAFA Julai 9 2017
Zimbabwe ikimenyana na Zambia katika fainali ya COSAFA Julai 9 2017 cosafamedia

Timu ya taifa ya soka ya Zimbabwe, imeshinda taji la COSAFA miongoni mwa mataifa ya Kusini mwa bara la Afrika. The Warriors iliifunga Zambia mabao 3-1 katika mashindano yaliyomalizika jioni hii nchini Afrika Kusini.