Jukwaa la Michezo

Nigeria na Misri zafuzu kombe la dunia nchini Urusi 2018

Sauti 24:06
Wachezaji wa timu ya taifaya soka ya Misri wakisherehekea baada ya kufuzu kombe la dunia kwa kuishinda Congo Brazaville mabao 2-1 Oktoba 8 2017
Wachezaji wa timu ya taifaya soka ya Misri wakisherehekea baada ya kufuzu kombe la dunia kwa kuishinda Congo Brazaville mabao 2-1 Oktoba 8 2017 http://www.cafonline.com/

Nigeria na Misri, zimefuzu katika fainali ya kombe la dunia nchini Urusi mwaka 2018. Hatua hii inakuja baada ya kushinda mechi zao mwishono mwa wiki iliyopita. Tunajadili hili kwa kina.