Mchezaji wa kwanza wa Tanzania aliyecheza soka nchini Uingereza

Sauti 23:39
Abbas Pira (Katikati) mchezaji wa soka nchini Tanzania akiwa na wanahabari wa RFI Kiswahili, Victor Abuso na Fredrick Nwaka
Abbas Pira (Katikati) mchezaji wa soka nchini Tanzania akiwa na wanahabari wa RFI Kiswahili, Victor Abuso na Fredrick Nwaka twitter.com/

Abbas Pira, ni mgeni wetu katika Makala ya Jukwaa la Michezo. Ni mtanzania wa kwanza kucheza soka nchini Uingereza. Pamoja na hilo, tunakueleza kinachoendelea kwingineko viwanjani barani Afrika.