Al Ahly na Wydad Cassablanca yatoa sare fainali ya kwanza ya kutafuta ubingwa wa CAF

Sauti 24:39
Mchuano kati ya klabu ya Al Ahly ya Misri na Wydad Cassablanca ya Morocco
Mchuano kati ya klabu ya Al Ahly ya Misri na Wydad Cassablanca ya Morocco www.cafonline.com

Klabu ya Al Ahly ya Misri na Wydad Casablanca ya Morocco  ilitoka sare ya bao 1-1 katika mchuano wa kwanza wa fainali kuwania taji la klabu bingwa barani Afrika. Tunajadili hili miongoni mwa masuala mengine kama mchezo wa riadha.