Baraza la soka Afrika Mashariki na Kati limetangaza kufanyika kwa michuano baina ya timu za taifa nchini Kenya mwezi Novemba.Tunajadili hili na mengine mengi yaliyojiri viwanjani wiki hii.