TP Mazembe yaanza vema fainali ya kuwania taji la Shirikisho barani Afrika

Sauti 23:04
Christian Kouamé Koffi (Kushoto), Adama Traoré (Katikati) na Jonathan Bolingi (Kulia) wakiwa katika mchuano wa Kimataifa
Christian Kouamé Koffi (Kushoto), Adama Traoré (Katikati) na Jonathan Bolingi (Kulia) wakiwa katika mchuano wa Kimataifa stringer / AFP

TP Mazembe imeanza vema fainali ya kuwania taji la Shirikisho barani Afrika baada ya kuishinda SuperSport United ya Afrika Kusini kwa mabao 2-1.Fainali ya pili itachezwa tarehe 25.