Jukwaa la Michezo

TP Mazembe yashinda taji la Shirikisho barani Afrika

Sauti 24:31
Wachezaji wa TP Mazembe wakisherehekea ushindi wa taji la Shirikisho barani Afrika
Wachezaji wa TP Mazembe wakisherehekea ushindi wa taji la Shirikisho barani Afrika PHILL MAGAKOE / AFP

TP Mazembe imefanikiwa kushinda tena taji la Shirikisho barani Afrika, baada ya kuishinda SuperSport United ya Afrika Kusini kwa jumla ya mabao 2-1 baada ya fainali mbili kutafuta taji hilo.Fainali ya pili, Mazembe haikufungana na wapinzani wao Supersport United ya Afrika Kusini.Tunachambua ushindi huu