FIFA yatangaza droo ya michuano ya kombe la dunia

Sauti 25:31
Kombe la dunia 2018
Kombe la dunia 2018 Maxim Shemetov/Reuters

Shirikisho la soka duniani FIFA, limetangaza droo ya michuano ya kombe la dunia nchini Urusi 2018.

Matangazo ya kibiashara

Hii ndio droo kamili:-

Kundi  A: Urusi (Wenyeji), Saudi Arabia, Misri, Uruguay.

Kundi B: Ureno, Uhispania, Morocco, Iran.

Kundi C: Ufaransa, Australia, Peru, Denmark.

Kundi  D: Argentina, Iceland, Croatia, Nigeria.

Kundi  E: Brazil, Switzerland, Costa Rica, Serbia.

Kundi F: Ujerumani, Mexico, Sweden, Korea Kusini.

Kundi G: Ubelgiji, Panama, Tunisia, Uingereza.

Kundi H: Poland, Senegal, Colombia, Japan.