Jukwaa la Michezo

Soka la vijana nchini Tanzania

Sauti 24:25
Wachezaji wa taifa Stars
Wachezaji wa taifa Stars http://tff.or.tz/news/

Soka la vijana lina nafasi kubwa katika kuinua maendeleo ya mchezo huo nchini Tanzania. Kituo cha Mandozi Sports Academy kilichopo Kirumba Mkoani Mwanza, Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo kimejikita kukuza vipaji hasa kwa vijana chipukizi.Mwandalizi wa makala haya ni Fredrick Nwaka.