Mikakati ya kuimarisha mchezo wa riadha nchini Tanzania

Sauti 23:32
Mwanariadha wa  Marathon kutoka nchini Tanzania Alphonse Simbu
Mwanariadha wa Marathon kutoka nchini Tanzania Alphonse Simbu www.athletics-africa.com

Tanzania ni mojawapo ya mataifa ya Afrika Mashariki ambayo yameweka mikakati ya kuimarika zaidi katika mchezo wa riadha ili kushindana na mataifa jirani ya Kenya, Uganda na Ethiopia. Tunathmini hali ya mchezo wa riadha nchini Tanzania.