Uganda yafanya vibaya katika mashindano ya CHAN
Imechapishwa:
Sauti 24:12
Uganda kwa mara nyingine, imefanya vibaya katika mashindano ya CHAN inayoendelea nchini Morocco. Aliyewahi kuwa Naibu kocha wa timu ya taifa ya Uganda Cranes Jackson Mayanja amesema, Shirikisho la soka nchini lilifanya kosa kwa kumpa kocha mpya kikosi hicho wiki moja kuelekea michuano hii.