Jukwaa la Michezo

Morocco ndio mabingwa wa michuano ya CHAN 2018

Sauti 23:09
Wachezaji wa Morocco wakisherehekea ushindi wa taji la CHAN 2018
Wachezaji wa Morocco wakisherehekea ushindi wa taji la CHAN 2018 FADEL SENNA / AFP

Timu ya taifa ya soka ya Morocco imeshinda taji la CHAN kwa wachezaji wanaocheza soka nyumbani barani Afrika, baada ya kuishinda Nigeria mabao 4-0.Hii ndio mara kwanza kwa Morocco kuwa wenyeji na kushinda taji hili.