Jukwaa la Michezo

Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi yaanza Korea Kusini

Sauti 23:26
Nembo ya michezo ya Olimpiki nchini Korea Kusini
Nembo ya michezo ya Olimpiki nchini Korea Kusini REUTERS/Lucy Nicholson

Michezo ya Olimpiki, majira ya baridi imeanza nchini Korea Kusini katika mji wa Pyeongchang. Wanamichezo zaidi ya 2,000 wanashiriki kutoka mataifa zaidi ya 90. Tunaangazia pia michuano ya soka kuwania taji la klabu bingwa na Shirikisho barani Afrika.