Jukwaa la Michezo

Rwanda na Eritrea zafanya vizuri katika mashindano ya kukimbiza baiskeli Afrika

Sauti 23:54
Wakimbiza Baiskeli wakati wa mashindano ya bara Afrika
Wakimbiza Baiskeli wakati wa mashindano ya bara Afrika www.newtimes.co.rw

Eritrea na wenyeji Rwanda, zimefanya vizuri katika mashindano ya kukimbiza baiskeli barani Afrika. Mashindano hayo yalikamilika mwishoni mwa wiki hii jijini Kigali. Miongoni mwa wachezaji waliofanya vema ni pamoja na Amanuel Ghebreigzabhier (Eritrea), Joseph Areruya (Rwanda) , Eyob Metkel (Eritrea) na Lagab Azzedine (Algeria).