Jukwaa la Michezo

FIFA inaweza kusaidia vipi soka Tanzania ?

Sauti 23:48
Rais wa  FIFA Gianni Infantino
Rais wa FIFA Gianni Infantino REUTERS/Rupak De Chowdhuri

Rais wa Shirikisho la soka duniani FIFA, Gianni Infantino aliongoza mkutano wa FIFA nchini Tanzania kuhusu namna ya kuimarishwa kwa soka la wanawake na vijana. Je, mkutano huu unaweza kusaidia kwa namna yeyote ile kusaidia kuimarisha soka nchini Tanzania ?