CAF yatangaza droo ya hatua ya makundi kuwania taji la Shirikisho

Sauti 23:58
Droo ya hatua ya makundi kuwania taji la Shirikisho barani Afrika CAF
Droo ya hatua ya makundi kuwania taji la Shirikisho barani Afrika CAF http://www.cafonline.com/

Juma hili tunaangazia droo ya hatua ya makundi kuwania taji la Shirikisho barani Afrika baina ya vlabu , masaibu ya rais wa Shirikisho la soka nchini DRC Constatine Omari, Michuano ya CECAFA kwa vijana wasiozidi miaka 17 inayoendelea nchini Burundi, na tangazo la kocha wa muda wa mrefu wa Arsenal Mfaransa Arsene Wenger ambaye ataondoka mwisho wa msimu huu.