Pata taarifa kuu
EPL-FA-MANCHESTER

Ligi Kuu ya England kufikia tamati Mei 13

Yaya Touré akiwaaga mashabiki wa Manchester City, baada ya kuitumikia timu hiyo kwa miaka minane
Yaya Touré akiwaaga mashabiki wa Manchester City, baada ya kuitumikia timu hiyo kwa miaka minane Action Images via Reuters/Jason Cairnduff
Ujumbe kutoka: RFI
1 Dakika

Ligi Kuu ya England inafikia tamati kesho Jumapili kwa mechi 10 kuchezwa kwa wakati mmoja.

Matangazo ya kibiashara

 

Liverpool ikiwa na alama 72 katika nafasi ya nne inahitaji alama moja ili kufuzu ligi ya mabingwa Ulaya wakati Chelsea inaomba Liverpool ishindwe ili yenyewe ishinde na kufuzu ligi ya mabingwa Ulaya.

Timu za Stoke City, West Bromwich na Swansea City zimeshashuka daraja.

Ratiba ya mechi za kesho ni kama ifuatavyo

Sauthampton inachuana na Manchester City

Swansea na Stoke City

Liverpool na Brighton and Hove Albion

Crystal Palace vs West Bromwich Albion

Burnley vs AFC Bournermouth

West Ham VS Everton

Newcastle vs Chelsea

Manchester vs Watford

Tottenham vs Leicester City

Huddesfierd Town vs Arsenal

Ligi hiyo pia inafikia tamati huku kiungo wa Manchester City Yaya Toure akitangaza kuondoka katika timu hiyo baada ya kuitumikia kwa misimu nane, akicheza zaidi ya mechi 200.

 

 

 

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.