FIFA-MISRI-WORLD CUP

Kocha wa Misri Hector Cuper ataja kikosi cha awali cha Kombe la dunia

Hector Cuper, Kocha wa Timu ya Taifa ya Misri.
Hector Cuper, Kocha wa Timu ya Taifa ya Misri. Pierre René-Worms / RFI

Kocha wa Timu ya Taifa ya Misri, Muargentina, Hector Cuper ametaja majina 35 ya kikosi cha awali kwa ajili ya fainali za Kombe la Dunia mwezi ujao nchini Urusi.

Matangazo ya kibiashara

Kikosi hicho kitachujwa na kusaliwa na wachezaji 23 watakaowakilisha nchi hiyo katika fainali hizo ambazo Misri imepangwa Kundi A na timu za Urusi, Uruguay na Saudi Arabia.

Kikosi kamili ki kama ifuatavyo...

Makipa: Essam El Hadary (Al Taawoun, Saudi Arabia), Sherif Ekramy (Al Ahly), Mohamed El Shennawy (Al Ahly), Mohamed Awwad (Ismaily), Amer Amer (Al Intag Al Harby)

Mabeki : Ahmed Fathy (Al Ahly), Ahmed Elmohamady (Aston Villa, Uingereza), Mohamed Abdel Shafy (Al Fateh, Saudi Arabia), Ahmed Hegazi (West Bromwich Albion, Uingereza), Omar Gaber (Los Angeles FC, Marekani), Ali Gabr (West Bromwich Albion, Uingereza), Saad Samir (Al Ahly), Karim Hafez (Lens, Ufaransa), Ayman Ashraf (Al Ahly), Mahmoud Hamdy (Zamalek), Amro Tarek (Orlando City, Marekani), Hamada Tolba (Al Assiouty)

Viungo: Mohamed Elneny (Arsenal, England), Abdullah El Said (KuPS, Finland), Mahmoud Abdul Razek "Shikabala" (Al Raed, Saudi Arabia), Mahmoud Hassan "Trezeguet" (Kasimpasa, Uturuki), Ramadan Sobhi (Stoke City, England), Tarek Hamed (Zamalek), Hossam Ashour (Al Ahly), Sam Morsy (wigan Athletic, Uingereza), Amr Warda (Atromitos, Ugiriki), Moamen Zakaria (Al Ahli Jeddah, Saudi Arabia), Walid Suleiman (Al Ahly), Mahmoud Abdel Aziz (Zamalek)

Washambuliaji Mohamed Salah (Liverpool, Uingereza), Mahmoud Abdel Moneim "Kahraba" (Al Ittihad, Saudi Arabia), Marwan Mohsen (Al Ahly), Amr Gamal (HJK Helsinki, Finland), Ahmed Hassan "Kouka" (Sporting Braga, Ureno), Ahmed Gomaa (Al Masry)