Pata taarifa kuu
FIFA-URUSI-KOMBE LA DUNIA 2018

Uwanja wa Nizhny Novgorod,Korea Kusini na Sweden zitachuana Juni 18

Uwanja wa Nizhny Novgorod
Uwanja wa Nizhny Novgorod FIFA.COM

Uwanja wa Nizhny Novgorod..Uwanja huu una uwezo wa kuchukua watazamaji 45, 000 na utaaandaa mechi sita za hatua ya makundi na umejengwa katikati ya Mto Oka na Volga.

Matangazo ya kibiashara

Juni 18 Sweden na Korea Kusini zitachuana katika Uwanja huu, mechi nyingine ni Argentina na Croatia Juni 21,England na Panama Juni 24,Uswisi na Costa Rica Juni 27.

Uwanja huu pia utaaanda mechi moja ya hatua ya 16 bora na pia utaandaa mechi moja ya robo fainali.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.