MICHEZO-TENISI

Michuano ya Tennis French Open yaendelea

Rafael Nadal kutoka  Uhispania (katikati) akiwa na wavulana na wasichana wa baada ya sherehe ya kupewa tuzowakati wa michuano ya French Open, Juni 11, 2012
Rafael Nadal kutoka Uhispania (katikati) akiwa na wavulana na wasichana wa baada ya sherehe ya kupewa tuzowakati wa michuano ya French Open, Juni 11, 2012 Reuters/Regis Duvignau

Michuano ya robo fainali katika mashindano ya mwaka huu ya mchezo wa Tennis ya French Open, inaendelea Jumatato jioni wiki hii katika viwanja mbalimbali.

Matangazo ya kibiashara

Mhispania Rafael Nadal, anachuana na Diego Schwartzman, kutoka Argentina kwa upande wa wanaume.

Bingwa wa mwaka 2016, Garbine Muguruza kutoka Uhispania mwenye asili ya Venezuela akimenyana na Maria Sharapova kutoka Urusi.

Mchezo mwingine ni katika ya Simona Halep kutoka Romania akimenyana na bingwa wa zamani wa dunia Angelique Kerber kutoka Ujerumani.