Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Mataifa ya Afrika yatatamba fainali za Kombe la dunia?

Sauti 09:54
Fainali za Kombe la dunia zinafanyika nchini Urusi.
Fainali za Kombe la dunia zinafanyika nchini Urusi. REUTERS/Maxim Shemetov
Na: RFI

Makala ya 21 ya fainali za Kombe la dunia imeanza Alahmisi ya Juni 14 mwaka 2018. Afrika inawakilishwa na mataifa matano ya Misri, Nigeria, Senegal, Tunisia na Morocco. Je mataifa ya Afrika yatatamba katika fainali hizi? Fredrick Nwaka amezungumza na wasikilizaji wetu, kupata maoni yao.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.