Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Kwanini timu za Afrika zimeanza vibaya fainali za Kombe la dunia nchini Urusi?

Sauti 21:04
Fainali za Kombe la dunia zinafanyika nchini Urusi
Fainali za Kombe la dunia zinafanyika nchini Urusi 路透社。
Na: RFI

Timu za Misri, Morocco na Nigeria zinazowakilisha bara la Afrika katika fainali za Kombe la dunia nchini Urusi zimeanza vibaya michuano hiyo kwa kupoteza mechi za kwanza. Mtangazaji wetu Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi wa Michezo Aloyce Mchunga na Collins Okinyo kutathimini mwanzo huo mbaya na matarajio kwa michezo iliyobaki.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.