Jukwaa la Michezo

Kwanini mataifa mashuhuri kwa kandanda duniani yameshindwa kufua dafu nchini Urusi?

Sauti 20:22
Nchi ya Urusi ndio mwenyeji wa fainali za kombe la dunia mwaka 2018
Nchi ya Urusi ndio mwenyeji wa fainali za kombe la dunia mwaka 2018 REUTERS/Maxim Shemetov

Fainali za kombe la dunia nchini Urusi zimeshuhudia mataifa mashuhuri kwa kandanda duniani kama Argentina, Brazil,Ujerumani, Hispania na mengine yakishindwa kufua dafu na kujikuta yakiondolewa mapema katika mashindano hayo. Je, sababu ni zipi na mataifa haya yamejifunza chochote? Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi wa kandanda Samuel John na Roland Walter kutathimini kwa kina