Pata taarifa kuu
SOKA-BARCELONA-GREMIO

Barcelona yakamilisha usajili wa kiungo, Mbrazil

Mchezaji mpya wa Barcelona, Authur
Mchezaji mpya wa Barcelona, Authur Bleacher Report
Ujumbe kutoka: RFI
1 Dakika

Mabingwa wa soka nchini Hispania, Barcelona wamekamilisha uhamisho wa kiungo Arthur kutoka klabu ya Gremio ya Brazil.

Matangazo ya kibiashara

Ada ya uhamisho wa mchezaji huyo imegharimu dola milioni 47 na anakuja kuongeza nguvu katika kikosi hicho kinachotumia Uwanja wa Camp Nou.

Barcelona inayonolewa na Ernesto valvede imeondokewa na viungo wawili Andreas Iniesta na Paulinho walioelekea barani Asia

 

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.