Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Ubelgiji yaishinda England na kutwaa ushindi wa tatu, Kombe la dunia

Sauti 22:36
Timu ya taifa ya soka ya Ubelgiji
Timu ya taifa ya soka ya Ubelgiji www.fifa.com
Na: RFI
Dakika 24

Timu ya Taifa ya Ubelgiji imetwaa nafasi ya tatu katika fainali za Kombe la dunia baada ya kuishinda England mabao 2-0. Hata hivyo unafahamu mambo ya ndani na nje ya uwanja yaliyozungumza fainali za mwaka huu? Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi Victor Abuso na Kahozi Kosha akiwa Lubumbashi nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.