Jukwaa la Michezo

Mechi za kuwania kufuzu fainali za Afrika kwa vijana chini ya miaka 17, zaanza nchini Tanzania

Imechapishwa:

Shirikisho la soka Afrika CAF kubadili mfumo wa mechi za kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya miaka 17, una tija? Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi Juma Mudimi na Abdulsuleimani Semugenyi

Nembo ya fainali za Afrika kwa vijana chini ya miaka 17 zitakazochezwa mwakani nchini Tanzania
Nembo ya fainali za Afrika kwa vijana chini ya miaka 17 zitakazochezwa mwakani nchini Tanzania wikipedia
Vipindi vingine