Jukwaa la Michezo

Ligi Kuu ya Tanzania Bara, kuanza Agosti 22 bila mdhamini mkuu

Sauti 24:16
Msimu wa Ligi Kuu Tanzania bara utaanza bila kuwepo kwa mdhamini mkuu
Msimu wa Ligi Kuu Tanzania bara utaanza bila kuwepo kwa mdhamini mkuu Azania Post

Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara msimu wa 2018/19 itaanza Agosti 22 ikishirikisha timu 20. Mamlaka inayosimamia ligi, Bodi ya Ligi Kuu (TPLB) imesema ligi hiyo itaanza bila kuwepo kwa kwa mdhamini mkuu. Fredrick Nwaka ameungana na mtendaji mkuu wa Azam FC Abdulkarim Amim na mchambuzi wa soka Samwel John kutathimini kwa kina.