AFCON-KENYA-GHANA-SOKA

Kocha wa Black Stars atangaza kikosi kitakachovaana na Harambee Stars

Kocha wa Timu ya Taifa ya Ghana Black Stars, Kwesi Appiah ametangaza majina ya wachezaji 21 wanaounda kikosi kitakachochuana na Kenya katika mechi ya kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika utakaochezwa Septemba 8 Jijini Nairobi.

Kocha wa timu ya taifa ya Ghana, Kwesi Appiah
Kocha wa timu ya taifa ya Ghana, Kwesi Appiah fifa.com
Matangazo ya kibiashara

Asamoah Gyan, Andrew Ayew na Jordan Ayew wameachwa katika kikosi hicho wakati mchezaji Willium Owusu anayechezea klabu ya Antwerp ameitwa kwa mara ya kwanza katika kikosi hicho.

Kwado Asamoah, kiungo wa Inter Milan ameitwa kwenye kikosi hicho kwa mara nyingine baada ya kukosekana kwa muda mrefu.

Kikosi kamili ni Makipa Lawrence Ati na, Richard Ofori

Walinzi: Harrison Afful, Daniel Opare, Kassim Nuhu, John Boye, Daniel Amartey na Andy Yiadom

Viungo: Afriyie Acquah, Isaac Sackey, Ebenezer Ofori, Christian Atsu, Edwin Gyasi na Kwadwo Asamoah.

Washambuliaji: Raphael Dwamena, Thomas Partey,