Jukwaa la Michezo

Mwelekeo wa soka la Afrika Mashariki na kati baada ya Kenya kujiondoa kuandaa michuano ya Cecafa

Sauti 20:53
Rais wa Shikisho la soka nchini Kenya, FKF Nick Mwendwa
Rais wa Shikisho la soka nchini Kenya, FKF Nick Mwendwa The Star

Shirikisho la kandanda nchini Kenya, FKF Nick Mwendwa amearifu uamuzi wa shirikisho la soka nchini Kenya kujiondoa kuandaa michuano ya Cecafa kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati. Je uamuzi huu una maana gani kwa soka la Afrika Mashariki na Kati?Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi Samwel John na Austin Oduor Otineo kutathimini suala hili.