Mataifa ya Afrika yaendeleza mapambano ya kufuzu AFCON 2019

Sauti 23:41
Tanzania na Uganda ikimenyana katika mechi muhimu ya kufuzu kucheza fainali ya mataifa bingwa barani Afrika mwaka 2019, jijini Kampala, Septemba 08 2018.
Tanzania na Uganda ikimenyana katika mechi muhimu ya kufuzu kucheza fainali ya mataifa bingwa barani Afrika mwaka 2019, jijini Kampala, Septemba 08 2018. www.cafonline.com

Mwishoni mwa wiki hii, mataifa mbalimbali ya Afrika yapo viwanjani kutafuta nafasi ya kufuzu kucheza fainali ya soka kuwania ubingwa wa Afrika mwaka 2019 nchini Cameroon. Tunakuletea uchambuzi wa kina.