Jukwaa la Michezo

Mechi za robo fainali ya taji la klabu bingwa Afrika na taji la shirikisho zarindima

Sauti 55:32
Nembo ya mashindano ya klabu bingwa Afrika
Nembo ya mashindano ya klabu bingwa Afrika wikipedia

Mechi za hatua ya robo fainali ya klabu bingwa Afrika na zile za taji la shirikisho zimekuwwa zikichezwa wikendi hii. Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi Samwel John na Boniface Osano kuangazia kwa kina.