Jukwaa la Michezo

Watani wa jadi Simba na Yanga washindwa kufungana

Sauti 23:16
Wachezaji wa Simba na Yanga wakisalimiana kabla ya kuanza kwa mechi ya ligi kuu Jumapili, Septemba 30 2018
Wachezaji wa Simba na Yanga wakisalimiana kabla ya kuanza kwa mechi ya ligi kuu Jumapili, Septemba 30 2018 azam sports

Watani wa jadi katika mchezo wa soka nchini Tanzania Simba na Yanga walishindwa kufungana katika mchezo muhimu wa ligi kuu, Tanzania bara. Tunajadili mechi hii kwa undani namna ilivyokuwa.