Jukwaa la Michezo

Michuano muhimu ya kuwania kufuzu fainali za Afrika yarindima

Sauti 24:15
Wachezaji wa Uganda Cranes wakifanya mazoezi kuelekea mechi muhimu dhidi ya Lesotho
Wachezaji wa Uganda Cranes wakifanya mazoezi kuelekea mechi muhimu dhidi ya Lesotho www.fufa.co.ug

Mechi za kuwania kufuzu fainali za Afrika za mwaka 2019 nchini Cameroon zimeendelea tena wikendi hii. Tanzania ikipoteza mbele ya Cape Verde, wakati Kenya ikipata sare mbele ya Ethiopia. Victor Abuso na Fredrick Nwaka wanajadili kwa kina