Kenya iko tayari kushiriki fainali za Afrika za Wanawake nchini Ghana?

Sauti 21:31
Ghana itakuwa mwenyeji wa fainali za 11 za soka za wanawake Afrika mwaka 2018
Ghana itakuwa mwenyeji wa fainali za 11 za soka za wanawake Afrika mwaka 2018 Wikipedia

Kenya imepata nafasi ya kushiriki fainali za Afrika kwa wanawake baada ya Rquatorial Guinea iliyokuwa imefuzu kuondolewa baada ya kubainika kutumia wachezaji wasio raia wa nchi hiyo. Je Kenya iko tayari kwa fainali hizo zinazotazamiwa kuanza Novemba 17 hadi Disemba 1. Fredrick Nwaka ameungana na Naibu rais wa Shirikisho la Kandanda nchini Kenya FKF Doris Petra na Mchambuzi wa Soka Samwel John kutathimini kwa kina.