Mkutano wa baraza la nane la Fifa wamalizika Kigali, nchini Rwanda

Sauti 21:09
Rasi wa Shirikisho la kandanda Duniani, Fifa, Gian Infantino
Rasi wa Shirikisho la kandanda Duniani, Fifa, Gian Infantino The Telegraph

Mkutano wa nane  wa baraza la Utendaji la Shirikisho la Kandanda duniani Fifa umetamatika nchini Rwanda wiki hii kwa maazimio mbalimbali kupitishwa. Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi Boniface Osano na Samwel John kutathimini kwa kina