Jukwaa la Michezo

Simba SC yapata viongozi wapya na Michuano ya klabu Afrika, kuanza Novemba 2018

Imechapishwa:

Klabu ya Simba imefanya uchaguzi wa viongozi wapya watakaoiongoza kwa miaka minne na msimu wa michuano ya ngazi ya klabu Afrika kuanza Novemba mwaka 2018. Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi Samwel John na Boniface Osano kuangazia kwa kina.

Simba imefanya uchaguzi wa kwanza tangu Mfanyabiashara Mohammed dewji anunue asilimia 49 za hisa katika klabu hiyo
Simba imefanya uchaguzi wa kwanza tangu Mfanyabiashara Mohammed dewji anunue asilimia 49 za hisa katika klabu hiyo youtube