Nafasi ya klabu za Afrika Mashariki na Kati katika michuano ya klabu, Afrika mwaka 2018/2019

Sauti 21:16
Mabingwa wapya wa taji la klabu bingwa barani Afrika , Esperance de Tunis, wakisherehekea ushindi Novemba 09 2018
Mabingwa wapya wa taji la klabu bingwa barani Afrika , Esperance de Tunis, wakisherehekea ushindi Novemba 09 2018 www.cafonline.com

Shirikisho la kandanda Afrika, CAF limetoa droo ya michuano ya klabu bingwa Afrika ni ile ya taji la Shirikisho. Je ipi nafasi ya klabu kutoka Afrika Mashariki na Kati kufua dafu katika michuano hiyo?Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi Aloyce Mchunga na Boniface Osano kutathimini kwa kina