Tanzania yaweka rehani matumaini ya kufuzu Afcon huku Ghana ikichanua

Sauti 20:25
Kocha wa Taifa Stars Emanuel Amunike anashutumiwa kwa kupanga kikosi dhaifu dhidi ya Lesotho
Kocha wa Taifa Stars Emanuel Amunike anashutumiwa kwa kupanga kikosi dhaifu dhidi ya Lesotho FIFA.COM

Tanzania imeshindwa na Lesotho kwa bao 1-0 na kuweka rehani matumaini ya kufuzu fainali za Afrika huku Ghana, Kenya, DRC zikiweka hai matumaini yao. Ungana na Fredrick Nwaka na Victor Abuso wakitathimini kwa kina