Dhamira ya George Weah kulipa mishahara ya wachezaji wa Timu ya Taifa inaweza kuigwa na mataifa mengine ya Afrika?

Sauti 19:03
George Weah alichaguliwa kuwa rais wa liberia mapema mwaka huu
George Weah alichaguliwa kuwa rais wa liberia mapema mwaka huu REUTERS/Stephane Mahe

Rais wa Liberia, George Opong Weah ametangaza kuwa serikali yake inakusudia kuanza kuwalipa mishahara wachezaji wa timu ya Taifa ya nchi hiyo, Je hatua hii inaweza kuongeza hamasa na hata kuigwa na mataifa mengine ya Afrika? Fredrick Nwaka ameungna na mchambuzi wa soka Aloyce Mchunga kukuletea makala haya.