Hatima ya fainali za Afrika mwaka 2019 baada ya Cameroon kupokwa uenyeji

Sauti 20:26
Rais wa Shirikisho la kandanda barani Afrika (CAF) Ahmad Ahmad
Rais wa Shirikisho la kandanda barani Afrika (CAF) Ahmad Ahmad CAF

Kamati ya utendaji ya Shirikisho la kandanda Afrika CAF wiki hii ilitangaza kuipoka Cameroon uenyeji wa fainali za 32 za michuano hiyo zilizopangwa kufanyika Juni hadi Julai mwaka 2019. Ipi itakuwa hatima ya mashindano hayo makubwa ya kandanda barani Afrika?Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi Aloyce Mchunga na Boniface Osano kutathimini kwa kina.