Jamhuri ya Congo inaweza kuandaa fainali za Afrika?

Sauti 20:56
Cameroon ndio washindi wa taji taji la Afcon mwaka jana, fainali zilizochezwa nchini Gabon
Cameroon ndio washindi wa taji taji la Afcon mwaka jana, fainali zilizochezwa nchini Gabon

Nchi ya Congo-Brazaville inaripotiwa kuomba wenyeji wa kuandaa fainali za Afrika mwaka 2018. Je ina vigezo vya kuweza kuandaa fainali hizo? Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi Boniface Osano na Anangisye Msokwa kutathimini kwa kina