Misri na Afrika Kusini zawasilisha maombi ya kuandaa fainali za Afrika, 2019

Sauti 23:32
Rais wa Shirikisho la kandanda barani Afrika (CAF) Ahmad Ahmad
Rais wa Shirikisho la kandanda barani Afrika (CAF) Ahmad Ahmad CAF

Mataifa ya Misri na Afrika Kusini yamewasilisha maombi ya kuandaa fainali za Afrika za mwaka 2019 ambazo awali zilipangwa kufanyika nchini Cameroon. Nchi mwenyeji itatangazwa Januari 9, 2019. Fredrick Nwaka ameungana na mcvhambuzi wa soka Samwel John kutathimni kwa kina.