Kwanini Timu za Afrika Mashariki zimeshindwa kufua dafu katika michuano ya klabu Afrika?

Sauti 20:14
Orodha ya Timu 16 zilizofuzu hatua ya makundi ya taji la klabu bingwa Afrika 2018/19
Orodha ya Timu 16 zilizofuzu hatua ya makundi ya taji la klabu bingwa Afrika 2018/19 CAF ONLINE

Timu za ukanda wa Afrika amshariki zimeshindwa kufua dafu katika michuano ya klabu bingwa na ile ya taji la shirikisho Afrika ambapo ni Simba SC ya Tanzania pekee iliyofuzu hatua ya makundi huku Timu tatu za KCCA ya Uganda, Gor Mahia ya Kenya na Mukura ya Rwanda zikitarajiwa kucheza hatua ya mwisho ya mtoani ya taji la shirikisho. Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi Kahozi Kosha na Aloyce Mchunga kutathimini kwa kina.