Matukio makubwa yaliyotokea viwanjani mwaka 2018

Sauti 23:41
Kombe la dunia nchini Urusi
Kombe la dunia nchini Urusi REUTERS/Maxim Shemetov

Mwaka 2018, unakamilika viwanjani. Matukio mengi yalifanyika ikiwa ni pamoja na fainali ya kombe la dunia nchini Urusi, mashindano ya CHAN nchini Morocco na mashindano ya riadha. Tunachambua hili kwa kina.