Jukwaa la Michezo

Tuzo za CAF kutolewa Januari 9 nchini Senegal

Imechapishwa:

Januari 9 mwaka 2019 Shirikisho la kandanda barani Afrika CAF, litatoa tuzo kwa  wanamichezo bora waliofanya vizuri mwaka 2018. Baadhi ya tuzo zinazogombewa ni mchezaji bora wa kiume, mchezaji bora wa kike, kocha bora na mchezaji bora chipukizi. Fredrick Nwaka ameungana nawachambuzi Samwel john na Bonface Osano kutathimini kwa kina.

Tuzo za CAF zitatolewa kesho katika Jiji la Dakar nchini Senegal
Tuzo za CAF zitatolewa kesho katika Jiji la Dakar nchini Senegal www.cafonline.com
Vipindi vingine