Hali ya mchezo wa masumbwi Afrika Mashariki

Sauti 22:23
Pambano kati ya George Groves na Chris Eubank Jr mjini Manchester hivi karibuni
Pambano kati ya George Groves na Chris Eubank Jr mjini Manchester hivi karibuni Action Images via Reuters/Lee Smith

Mchezo wa Masumbwi ni Mionmgoni mwa Michezo inayopendwa Duniani, Barani Afrika na hata katika nchi za Afrika Mashariki.Katika nchi za Afrika Mashariki umeshuka kwa kiwango kikubwa ukilinganisha na miaka ya 1970 na 1980, nini Kimesababisha kuporomoka kwa Mchezo huo? Ungana na Steven Mumbi katika Makala haya akizungumza na Mabondia Haruna Swanga, Francis Cheka na Kocha wa Mchezo huo kutoka Kigali Rwanda Rutikinga Frednand wakizungumzia mchezo huo.