Jukwaa la Michezo

Michuano ya Sports Pesa inaonyesha utofauti wa Ligi ya Tanzania na Kenya?

Imechapishwa:

Makala ya tatu ya michuano ya Sports pesa imekamilika jana jijini Dar es salaam nchini Tanzania na kushuhudia klabu kutoka Kenya ya KarioBang Sharks ikitwaa ubingwa kwa kuifunga Bandari pia ya Kenya kwa bao 1-0. Je, michuano hii inaonyesha tofauti ya Ligi ya Tanzania na Kenya? Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi Cassian Mbunda, Aloyce Mchunga na Bonface Osano kutathimini kwa kina.

Wachezaji wa Kariobang Sharks wakishnagilia baada ya kutwaa ubingwa wa Sport Pesa Januari 27, 2019 Jijini Dar es Salaam, Tanzani
Wachezaji wa Kariobang Sharks wakishnagilia baada ya kutwaa ubingwa wa Sport Pesa Januari 27, 2019 Jijini Dar es Salaam, Tanzani SportPesaTanzania/Twitter