Jukwaa la Michezo

Simba yashindwa kufua dafu, michuano ya klabu bingwa Afrika

Sauti 21:00
Wachezaji wa Simba wakifanya mazoezi kabla ya mchezo wa Ligi ya mabingwa Afrika
Wachezaji wa Simba wakifanya mazoezi kabla ya mchezo wa Ligi ya mabingwa Afrika Twitter/SimbaSC

Simba SC ya Tanzania imeendelea kupata matokeo mabaya katika mechi za hatua ya makundi za Ligi ya mabingwa Afrika.Sababu gani zinapelekea matokeo mabaya kwa klabu za Tanzania na hata Afrika mashariki katika michuano ya klabu Afrika na nini suluhu? Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi Samwel John na Bonface Osano kutathimini kwa kina.